
Ushauri na timu ya safe2choose “Unyanyapaa hulisha ukimya, na ukimya hulisha hadithi za uwongo. Hadithi ambazo hutoa habari potofu, hupotosha, na hunyanyapaa zaidi. Ni mduara mbaya na hatari ambao tunahitaji kuuvunja” [1] Mtu yeyote anayetafuta ushauri nasaha wa kutoa mimba na habari juu ya utoaji mimba wa matibabu na upasuaji anaweza kupata huduma hizi bila…
Read More +