Je! Ni Kiwango Gani cha Mafanikio ya utoaji mimba kwa Njia ya Kunyonya ua Kufyonza (MVA)?

Inapofanywa na wataalamu wa afya waliofunzwa, Njia ya Kunyonya ua Kufyonza (MVA) ni asilimia tisini na tisa bora.

Homoni ya ujauzito hupungua haraka baada ya MVA, lakini bado inachukua muda kwa homoni kurudi katika hali ya kawaida. Kipimo chako cha nyumbani cha ujauzito kinapaswa kuwa hasi baada ya wiki ~ mbili. [1]

[1] “Sasisho za kitabibu katika afya ya uzazi.” Ipas, 2020, www.ipas.org/wp-content/uploads/2020/08/ClinicalUpdatesInReproductiveHealthCURHE20-English-digital.pdf. Accesed November 2020.

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.