Itachukua muda gani kupona kutoka kwa Njia ya Kunyonya au Kufyonza (MVA)?

Nyakati za kupona baada ya kutoa mimba zitakuwa tofauti kwa kila mtu na itategemea wewe ni mjamzito wa wiki ngapi wakati utoaji wa mimba unatokea. Pia, hakuna wakati uliothibitishwa kimatibabu ambao unapaswa kusubiri kufanya shughuli maalum, kama vile kuoga, mazoezi, kufanya ngono, au kutumia visodo. Wakati wowote unapojisikia uko tayari, unaweza kurudi kwenye maisha yako ya kawaida. [1]

[1] “Clinical updates in reproductive health.” Ipas, 2020, www.ipas.org/wp-content/uploads/2020/08/ClinicalUpdatesInReproductiveHealthCURHE20-English-digital.pdf. Accesed November 2020.

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.