I reached out here because I was desperate and didn’t know who to turn to. I had been searching on Google and found this wonderful team. Even though I was still very apprehensive, I decided to trust them and share my despair. To my surprise, I was warmly welcomed by the counselors and received all the guidance I needed. I was quickly referred to the appropriate place, where I was also treated with great care, and I was able to have my abortion in about a week. It was a very positive experience, with kind support and without judgment.
Taarifa za utoaji mimba kulingana na nchi
Sheria za utoaji mimba na upatikanaji wa huduma hiyo zinatofautiana duniani kote kutokana na sababu za kitamaduni, kidini, na kisiasa. Baadhi ya nchi zimepiga marufuku kabisa utoaji mimba, wakati nyingine zikiruhusu, mara nyingi zinazoruhusu hufanya hivyo kupitia sheria fulani kutegemeana na umri wa ujauzito.
SHERIA
Sheria za Utoaji Mimba Duniani
Katika kipindi cha miaka 30 iliyopita, nchi 60 zimerahisisha suala la utoaji mimba kwa kuruhusu kutoa mimba zenye umri fulani, kwa mfano wiki 12 au 14 na si zaidi. Hata hivyo, wanawake 4 kati ya 10 wenye umri wa kuzaa bado wanaishi katika maeneo yenye sheria kali za utoaji mimba. Katika maeneo haya, utoaji mimba unaweza kuruhusiwa tu kwa masharti fulani kama vile ikiwa maisha ya mwanamke yako hatarini au ikiwa alipata mimba baada ya kubakwa, sehemu nyingine utoaji mimba hauruhusiwi kabisa katika mazingira yoyote yale [1,2,3].
Jitihada kubwa zinahitajika ili kuhakikisha kila mtu anapata haki ya kufanya maamuzi kuhusiana na mwili wake.
UPATIKANAJI
Upatikanaji wa huduma ya Utoaji Mimba Duniani
Mambo kadhaa yanaweza kuathiri upatikanaji wa huduma ya utoaji mimba salama na kwa wakati. safe2choose inasaidia kutoa taarifa muhimu kuhusu sheria za utoaji mimba na upatikanaji wa huduma hiyo katika nchi mbalimbali.
Upatikanaji wa Rasilimali
Upatikanaji wa huduma ya utoaji mimba hutegemea rasilimali zilizopo kama vile dawa, vifaa, na madaktari waliopata mafunzo. Vidonge vya utoaji mimba kama Mifepristone na Misoprostol vinatambuliwa kama vidonge salama na vyenye ufanisi na vipo kwenye orodha ya dawa muhimu ya Shirika la Afya Duniani (WHO) (6, 7). Hata hivyo, vidonge hivi havipatikani kila mahali hivyo kuongeza vikwazo vya upatikanaji wa huduma ya utoaji mimba salama na kwa bei nafuu katika baadhi ya maeneo (8, 9).
Vikwazo vya Kisheria
Baadhi ya nchi zina sheria kama vile sheria ya muda wa lazima wa kusubiri au sheria ya kuomba ruhusa kutoka kwa wazazi au wenzi, ambazo zinaweza kuchelewesha mchakato na kuathiri maamuzi (5).
Changamoto za Kiuchumi na Kijiografia
Sababu za kiuchumi na kijiografia, kama vile gharama kubwa za kupata huduma na umbali wa kufuata huduma, zinaweza kupelekea ugumu wa kupata huduma za utoaji mimba.
Madhara ya Kitamaduni na Kidini
Imani za kitamaduni na kidini pamoja na aibu inayotokana na utoaji mimba pia iweza kuathiri upatikanaji wa huduma hiyo. Aibu inaweza kusababisha hukumu au ubaguzi, na kufanya iwe vigumu kwa watu kuzungumza au kupata huduma za utoaji mimba. Baadhi ya watoa huduma wa afya pia wanaweza kuchagua kutofanya utoaji mimba kutokana na imani zao binafsi (10).
KANDA
Jifunze kuhusu utoaji mimba katika nchi yako
Tazama muhtasari huu wa kina kuhusu sheria za utoaji mimba na upatikanaji wake katika nchi mbalimbali. Unajumuisha taarifa kuhusu kama utoaji mimba ni halali, aina za utoaji mimba zinazopatikana, na maelezo kuhusu vidonge vya kutoa mimba, ikiwa ni pamoja na kama unahitaji dawa kwa agizo la daktari na gharama yake. Pia utapata taarifa kuhusu mashirika ya ndani na rasilimali za msaada wa ziada, vidokezo vya jinsi ya kuepuka udanganyifu, na jinsi ya kuwasiliana na timu yetu kwa ushauri wa moja kwa moja.
Ikiwa nchi yako haipo kwenye orodha, tafadhali tembelea tovuti ya mshirika wetu, How to Use Abortion Pills, au wasiliana na washauri wetu kupitia barua pepe info@safe2choose.org.
Shuhuda
Visa halisi kutoka kwenye jamii yetu.
Visa vya kweli na uzoefu kutoka kwa watu walioweka imani kwa safe2choose. Shuhuda hizi zinaonesha msaada na mwongozo tunaotoa, na kuonesha matokeo ya huduma zetu.
Even though I was still very apprehensive, I decided to trust them and share my despair. To my surprise, I was warmly welcomed by the counselors and received all the guidance I needed.
I don’t feel ready to have another baby. They inserted a copper IUD incorrectly, and I got pregnant.
I decided to have an abortion because I don’t feel ready to have another baby. They inserted a copper IUD incorrectly, and I got pregnant. My baby was born six months ago, I had postpartum depression, and it’s still hard to feel like I’m doing things right. I don’t think a new baby deserves all the stress from work, a small child, and a complicated relationship. The baby’s father didn’t want the pregnancy either.
After the abortion, I felt very guilty. I’m still sad about what happened because I tried to take care of myself and this still happened. I didn’t know what to do or where to go because abortion is illegal in my country. I found this page, and they helped me a lot and gave me contacts to make this a safe process, especially because I had the IUD and that complicated things.
If you’re in a similar situation, the best thing is to talk about it and cry as much as you need to let the grief out. I don’t think this is easy for anyone, especially if you’re a first-time mom.
Also, it’s better to be well informed about contraceptive methods and their side effects... I learned that you have to visit several doctors to get different opinions and inform yourself better. The copper IUD was inserted at my public health provider very soon after my C-section and didn’t protect me for even six months, and it caused this situation that I will never forget.
In a country where choice is denied, discovering support reaffirmed the belief in personal freedom.
It was amazing to know that even in a country where we are told we have no choice, there are people out there that still believe in a persons right to choose what to do with their life. Keep up the great work!
Ninawashukuru sana. Hakikisha kuwa watakutunza vyema, haijalishi uko wapi. Uamuzi ni wako, lakini hutatakuwa peke yako.
Hofu ndiyo hisia ya kwanza niliyohisi nilipogundua kuwa nina mimba. Lakini baada ya kuwasiliana na safe2choose, walinifanya nijisikie salama na kuwa na ujasiri kwamba wangeniongoza katika mchakato huu. Mchakato huu ulikuwa wa faragha na rahisi, na washauri walinipa uangalizi niliouhitaji kwa dhati. Ninawashukuru sana. Hakikisha kuwa watakutunza vyema, haijalishi uko wapi. Uamuzi ni wako, lakini hutatakuwa peke yako.
MAELEZO YA ZIADA
Maswali yanayo ulizwa mara kwa mara kuhusiana na utoaji mimba
Sababu kwa nini watu wanaweza kuchagua kufanya utoaji mimba ni za kibinafsi sana na hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Mtu anapochagua kufanya utoaji mimba, uamuzi huo mara nyingi hufanywa baada ya kutafakari kwa makini mambo mengi, yakiwemo ya kibinafsi, kiafya, kifedha, na hali za kifamilia.
Hatimaye, chaguo la mtu kuhusu mwili wake na afya ya uzazi ni jambo la kibinafsi. Kila mtu ana haki ya kufanya maamuzi ambayo ni bora kwa maisha na hali yake, na ni muhimu kuheshimu uhuru huo bila hukumu au uingiliaji.
Nyenzo Muhimu
Jinsi ya kujiandaa kutoa mimba
Ili kujiandaa vyema kwa ajili ya utoaji mimba, tembelea kurasa zifuatazo:
Wasiliana nasi.
Usisite kuwasiliana nasi
Ikiwa unahitaji taarifa zaidi au hujapata ulichokuwa unatafuta, tafadhali wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa ushauri au kupitia njia nyingine za mawasiliano.
Imeandaliwa na timu ya safe2choose kwa msaada wa taasisi mahalia na wataalamu waliotoa taarifa za hivi karibuni na masasisho.
safe2choose inaungwa mkono na Bodi ya Ushauri ya Matibabu, inayoundwa na wataalamu wakuu wa Afya ya Uzazi na Haki za Uzazi (SRHR).
[1] "The World's Abortion Laws Map." Center for Reproductive Rights, 2023, https://reproductiverights.org/maps/worlds-abortion-laws/. Accessed November 2024.
[2] Ganatra, B. et al. "Global, regional, and subregional classification of abortions by safety, 2010–14: estimates from a Bayesian hierarchical model." The Lancet, 2017, volume 390, issue 10110, 2372-2381, https://www.thelancet.com/journals/lancet/article/PIIS0140-6736(17)31794-4/fulltext. Accessed November 2024.
[3] "Abortion Law: Global Comparisons." Council on Foreign Relations, https://www.cfr.org/article/abortion-law-global-comparisons. Accessed November 2024.
[4] "Abortion care guideline. Chapter 1. Introduction: An enabling environment for comprehensive abortion care." WHO, 2022, https://srhr.org/abortioncare/chapter-1/an-enabling-environment-for-comprehensive-abortion-care/. Accessed November 2024.
[5] De Londras, F. et al. "The impact of mandatory waiting periods on abortion-related outcomes: a synthesis of legal and health evidence." BMC Public Health, 22, 1232, 2022, https://bmcpublichealth.biomedcentral.com/articles/10.1186/s12889-022-13620-z. Accessed November 2024.
[6] Gibson, L. "WHO puts abortifacients on its essential drug list." BMJ, 2005, 331(7508):68, https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC558642/. Accessed November 2024.
[7] "World Health Organization Model List of Essential Medicines – 23rd List, 2023." World Health Organization, 2023, https://www.who.int/publications/i/item/WHO-MHP-HPS-EML-2023.02. Accessed November 2024.
[8] "Mifepristone Approved List." Gynuity, 2024, https://gynuity.org/assets/resources/mife_by_country_and_year_en.pdf. Accessed November 2024.
[9] "Global Abortion Policies Database." GAPD, https://abortion-policies.srhr.org/. Accessed November 2024.
[10] Sorhaindo, A.M., Lavelanet, A.F. "Why does abortion stigma matter? A scoping review and hybrid analysis of qualitative evidence illustrating the role of stigma in the quality of abortion care." Soc Sci Med, 2022, 311:115271, https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC9577010/. Accessed November 2024.
