Utenda kazi wa tembe za kutoa mimba hupungua zinapotumika mara kwa mara?
Utenda kazi wa tembe ya kutoa mimba haupungui ikiwa ulizitumia [1] katika uja uzito uliopita na una ari ya kufanya hivyo tena katika mimba ya sasa. Kuna uwezekano unaofanana kuwa zitafanya kazi vyema kama zilivyofanya katika matumizi yaliyopita.
[1] Women on Web. Is it safe to have an abortion with pills if you’ve already had one in the past? Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/page/3434/is-it-safe-to-have-an-abortion-with-pills-if-you-ve-already-had-one-in-the-pas
Baada ya kumeza tembe za kutoa mimba FAQs
- Nahitaji jaribio la mawimbi sauti ili kuthibitisha ikiwa tembe za kutoa mimba zilifanikiwa?
- Utenda kazi wa tembe za kutoa mimba hupungua zinapotumika mara kwa mara?
- Nawezaje kuzuia mimba nyingine siku za usoni?
- Nastahili kupumzika siku ngapi baada ya kutumia tembe za kutoa mimba?
- Nini kitafanyika ikiwa bado nina uja uzito baada ya kutumia tembe za kutoa mimba?
- Nitahitaji kupanuka na kutotelwa vitu katika tumbo la uzazi (D & C) baada ya kutumia tembe za kutoa mimba?
- Naweza kuwa na uwezo wa kupata uja uzito baada ya utoaji mimba?
- Nastahili kungoja kipindi kipi ili kujamiiana baada ya kutumia tembe za kutoa mimba?
*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.