Naweza kunywa pombe wakati wa utaratibu wa utabibu wa kutoa mimba?

Inashauriwa kujiepusha na pombe [1] unapotumia tembe za kutoa mimba. Pombe inaweza kuathiri uwezo wako wa kufikiria waziwazi unapotumia tembe za kutoa mimba, na pia inaweza kuhitilafiana na dawa inayotumika kukabili maumivu au maambukizi (ikiwa utata utatokea).

[1] Women on Web. Can you eat or drink while you are taking the medicines? Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/page/3912/can-you-eat-or-drink-while-you-are-taking-the-medicines

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.