Naweza kutumia tembe za kutoa mimba kupitia uke

Njia bora tu ya kutumia Mifepristone ni kuimeza.
Misoprostol inaweza kutumika vyema kwa njia 3 tofauti: Ingawa kutumia tembe za Misoprostol chini ya ulimi,

Kwa mashavu au ukeni zote ni bora, haipendekezwi uziweke katika uke wako Hii ni kwa sababu Misoprostol inaweza kuacha chembe chembe ambazo zinaweza kuonekana na mhudumu wa afya unapohitaji matibabu. Kutumia Misoprostol chini ya ulimi au kwenye mashavu [1] haiachi chembe chembe za tembe zinazoonekana.


Sources

[1] Women on Web. Are there other ways to use the Misoprostol? Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/page/985/are-there-other-ways-to-use-the-misoprostol

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu