Naweza kumeza tembe za kutoa mimba?

Njia bora tu ya kutumia Mifepristone ni kuimeza.

Misoprostol haipaswi kumezwa. Misoprostol inapendekezwa kutumika chini ya ulimi (iyeyuke chini ya ulimi kwa dakika 30)

Bonyeza kwa maagizo ya kina kwa matumizi yaliyopendekezwa ya Mifepristone na Misoprostol na Misoprostol tu

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu