Ni njia zipi ambazo si salama za utoaji mimba?

Njia zisizo salama za utoaji mimba [1] ni njia zozote ambazo hazijumuishi matumizi ya tembe pamoja na maelezo yanayojikita kwa ushahidi, au utoaji wa utaratibu wa utoaji mimba kwa upasuaji na mtaalamu asiye na mafunzo ya utoaji mimba.

[1] WHO. Preventing unsafe abortion. 2019. Retrieved from: https://www.who.int/news-room/fact-sheets/detail/preventing-unsafe-abortion

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.