Kuna tofauti gani kati ya Misoprostol na Mifepristone?

Mifepristone huzuia homoni ya uja uzito inayohitajika kwa ukuaji wa mimba, na Misoprostol husaidia mlango wa uzazi kutulia na tumbo la uzazi kijikunja ili kutoa uja uzito.Kuna taratibu mbili za utabibu kwa tembe za kutoa mimba, moja inaunganisha Mifepristone na Misoprostol, na moja inayotumia Misoprostol pekee. Mchanganyiko wa Mifepristone na Misoprostol ni bora zaidi (95%), lakini Misoprostol pekee (85%) inaweza kutumika pia [1].

WHO. Safe abortion: technical and policy guidance for health systems. Second edition. 2012. Retrieved from: https://apps.who.int/iris/bitstream/handle/10665/70914/?sequence=1

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.