Wahudumu wa afya wanaweza kujua kuwa ninatoa mimba?

Baada ya kutumia tembe za kutoa mimba chini ya ulimi ama kwenye mashavu, mtu yeyote hawezi kujua tofauti kati ya kupoteza mimba na kutoa mimba, kwa sababu dalili zinafanana.

Hatupendekezi kutumia Misoprostol mara kwa mara kwenye uke, hii ni kwa sababu ikiwa unahitaji kutafuta matibabu wahudumu wa afya wataweza kuona mabaki ya vidonge na wajue kuwa umetumia dawa za kutoa mimba

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu