Niligunduliwa kupoteza mimba Naweza kutumia tembe za kutoa mimba?

Kupoteza mimba [1] ni kubaini mimba ambayo imetamatika kwa njia ya kawaida Msamiati mwingine wa kawaida wa kupoteza mimba inajumuisha (lakini haujifungii kwa): kukosa utoaji mimba, uaviaji mimba wa ghafla, kijusi kilichokufa, kijusi kisichokua, na mimba isiyoweza kudumu.

Ikiwa umegunduliwa ulipoteza mimba (au moja kati ya zilizo juu), una njia kadhaa ambazo zinajumuisha: kuruhusu mwili wako kukabili kupoteza mimba kwa njia yake na ungoje kutokwa damu, kutumia tembe za kutoa mimba kuharakisha mchakato wa kutokwa damu na msokoto, hivyo kutoa mimba iliyopotea katika tumbo la uzazi, au kuwa na utaratibu wa ufyonzaji unaotekelezwa na mtaalamu ili kutoa mimba iliyopotea kutoka kwa tumbo la uzazi. Ikiwa utachagua kutumia tembe za kutoa mimba, mapendekezo ya kutumia dawa yanafanana.


Sources

[1] WebMd. Abortion Pill Effective, Safe After Miscarriage. 2005. Retrieved from: https://www.webmd.com/baby/news/20050824/abortion-pill-effective-safe-after-miscarriage

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu