Niko na mimba ya zaidi ya wiki 20 Naweza kutumia tembe kutoa mimba?

Ikiwa uko na mimba ya zaidi ya wiki 20 usiyohitaji, haipendekezwi utumie tembe za kutoa mimba nyumbani, kwa sababu kuna ushahidi mdogo kuhusiana na usalama wa hii na inaweza kuwa hatari Ikiwa unahitaji ushauri au usaidizi kuhusu maamuzi kuhusu uja uzito wako katika wakati huu, ni bora kuwasiliana na mmoja wa washauri wetu.

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu