Kutumia Mifepristone na Misoprostol kutamatisha mimba ya sasa haitakuwa na athari au kusababisha kasoro za kuzaliwa kwa mimba [1] ya siku za usoni. Tembe zote za kutoa mimba (Mifepristone na Misoprostol) hutolewa haraka mwilini, hivyo hazina athari yoyote kwa uwezo wa mtu kuwa mja mzito siku za usoni.
Sources
[1] Women on Web. What are the chances that the fetus will be malformed if you have an ongoing pregnancy? Retrieved from: https://www.womenonweb.org/es/page/478/what-are-the-chances-that-the-fetus-will-be-malformed-if-you-have-an-ongoing-p
*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.