safe2choose inatoa habari nyingi kuhusiana na kutoa mimba, na pia matini nyingine zinazoweza kuwa na manufaa kwa mtu anayependelea kutoa mimba. Hakikisha kuwa unasaidia na usiwe unahukumu. [1]
Sources
[1] Bpas. Supporting someone. Retrieved from: https://www.bpas.org/abortion-care/supporting-someone-having-an-abortion/
*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.