Ushuhuda Bhutan, umri wa miaka 18

safe2choose ni mahali panapofaa ikiwa una mimba ambayo hukutarajia na hujui cha kufanya. Unaruhusiwa kuzungumza na mtaalamu wao na usafirishaji ulitendeka kwa wakati. Nina bahati sana kwa sababu ilikuwa ndiyo mara ya kwanza kwao kusafirisha hadi nchini mwangu kwa hivyo hawakunitoza malipo kwa huduma. Wanajali wenzao sana. Inasaidia sana ikiwa una mimba ambayo hukutarajia kwa sababu ni salama na sio utapeli kama tovuti zingine nyingi. safe2choose ilinisaidia na itakusaidia pia.

Nilisikitika kutoa mimba ya mtoto wangu wa kwanza, lakini sikuwa na chaguo lingine. Mimi bado ni mdogo na singeweza kumtunza mtoto. Kabla ya kumeza kidonge nafikiri kuwa unahitaji kuwa na afya njema na tayari. Hakutakuwa na shida zozote. Utakuwa tu na maumivu baada ya kumeza seti ya pili ya vidonge. Ni kama maumivu ya wakati wa hedhi lakini makali kidogo.

  • Share your story!

    Share your testimonial with safe2choose! It'll take only a few minutes of your time.

  • Share your story: Upload your story in any of the following format (video, photo, voice recording):

  • safe2choose will not publish stories that are offensive in any way, nor that contradict the safe2choose medical abortion protocols which are based off international medical organizations and our medical team.

  • Sehemu hii ni kwa madhumuni ya uthibitishaji na inapaswa kuachwa bila kubadilishwa.